Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


NYUMBA MPYA INAUZWA TZS 90 MILIONI. Maongezi yapo. Location Pugu Kwasadala Manispaa ya Ilala Dar es salaam. Vyumba 3 Self contained rooms. Sitting room jiko Dining room na public Toilet. Nyumba Ina fensi. Pia Nyumba Ina maji safi na umeme. Kiwanja sqm. 400 Hati ya Mauziano ya Ofisi ya serikali ya Mtaa. Umbali kutoka main road Hadi kwenye Nyumba ni dakika 5 Kwa miguu.
Call&watsapp 0769279926