Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


KIWANJA KINAUZWA
UKUBWA WA ENEO NI MITA 26 KWA MITA 16, KIKO TAMBARARE KABISA NA ENEO NI "HOT CAKE", NGUZO YA UMEME IPO HAPO HAPO, ENEO ARDHI YAKE NI NZURI SANA INA MCHANGA.
LOCATION: PUGU KWA MUSTAFA.
BEI: MILIONI 9 TU..
CONTACT: 0692423138 / 0719115949.