Kiwanja kinauzwa Pugu, Dar Es Salaam


Jumba la kifahari Linauzwa Milioni 130. Maongezi yapo. Location Pugu Kwarahisi Manispaa ya Ilala Dar es salaam
BEI MILIONI { 130,000,000/= MILIONI }
0759128747 } { 0712058357
0624436503 } { WHATSAPP
. Vyumba 4. Kimoja master Sitting room jiko na store. Dining room na public Toilet. Nyumba Ipo kwenye mtaa mzuri. Pia Nyumba ni ya tatu kutoka main road. Nyumba Ina umeme na maji safi ya kisima. Pia Nyumba Ina A/C. Kiwanja Sqm. 600 Hati ya mauziano ya ofisi ya serikali ya Mtaa. Pia kiwanja kimepimwa na biconi zimewekwa Hati miliki ipo kwenye process.
Wote mnakaribishwa