Kiwanja kinauzwa Pwani







KIWANJA KINAUZWA MATEMWE KIGOMANI
#unguja #zanzibar
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Barabarani Mita Mita 80
Kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani Mita 180
Ukubwa wa Kiwanja Mita 30x27
Bei Tsh 35 Milioni thelathini na tano
NB:Picha za Beach/Pwani ambazo zipo pamoja na picha za kiwanja, zina lengo la kukuonyesha aina ya fukwe ilivyo na haina maana kuwa hiki kiwanja kipo baada ya Beach/Pwani. Nasisitiza; umbali wa kutoka kiwanja kilipo mpaka Beach/Pwani ni 100
What's App/Call 0653007438
#mtegemeachanduguhufamaskini
#kimfaachomtuchake




















