Kiwanja kinauzwa Sabasaba, Morogoro


🗣️ KIWANJA KINAUZWA #SABASABA
👉 Kiwanja Kimezunguushiwa Fensi
👉 Kipo Eneo Zuri Sana
👉 Kinafaa Kwa Uwekezaji Na Kuishi
👉 Kiwanja Kimepinwa na Hati Miliki Ipo ✅
Bei: Milioni 130 (Maongezi Yapo)
Call Or WhatsApp: 0765430905
Gharama ya kuona Kiwanja TSH 30,000