Kiwanja kinauzwa Sinza, Dar Es Salaam


KIWANJA CHA KUUZA NA NYUMBA – SINZA, DAR ES SALAAM
📍 Eneo: Sinza – Lokeshoni ya Juu Sana!
🏠 Maelezo: Kiwanja chenye nyumba kilicho karibu na barabara ya lami, kinauzwa kwa bei nafuu!
📏 Ukubwa: 200 sqm
💰 Bei: TZS 95,000,000
🛠 Fursa:
- Unaweza kukarabati nyumba iliyopo na kuipangisha kwa bei ya juu au kufanya Biashara ya Nyumba na Kiamsha kinywa (BnB).
- Kwa wazito, jenga apartments za ghorofa na upate faida kubwa kupitia upangishaji!
💸 Service Charge: TZS 30,000/=
📞 Wasiliana Sasa: 0688 412 890 kwa maelezo zaidi au kupanga kutembelea kiwanja!
⏳ Haraka! Hii ni Fursa ya Dhahabu katika Eneo la Biashara la Sinza!