Kiwanja kinauzwa Soweto, Kilimanjaro


Habar:
☆Kiwanja Kinauzwa.
●Kinaukubwa wa Sqm 2100. Sawa na Nusu Heka. Kwa mzunguko wa Urefu 70m. Na Upana 30m..
●Kipo Maeneo ya SOWETO YA CHINI. Barabara ya VETA. Pia Kinapakana na Uwanja wa ndege wa Moshi Mjini.
●Kiwanja Kina Mvuto na Kina View ya Ml.Kilimanjaro kwa Urahis sana.
●Tunatoa Offer ya Kubuniwa/Kuchorewa Mchoro wowote Ule Buree kwa Atake jitokeza kufanya Investment Hapo. Mf. Mchoro wa Hotell,Apartments, Camp House N.k.
●Kiwanja Hakina Mgogoro, na Kina Hati ya Mmiliki Mmoja tu.
●Gharama ya Kuuzwa ni MILIONI 400.
Tsh.400,000,000/=
☆MAZUNGUMZO YAPO.
Ahsante:🙏🏾