Kiwanja kinauzwa Soweto, Kilimanjaro
Habar:
☆Kiwanja Kinauzwa.
●Kinaukubwa Nusu Heka Kwa mzunguko wa Urefu
●Kipo Maeneo ya SOWETO YA CHINI. Barabara ya VETA.kina tizamana na HOSTEL ZA VETA. Pia Kinapakana na Uwanja wa ndege wa Moshi Mjini.
●Kiwanja Kina Mvutu na Kina Tizama Ml.Kilimanjaro kwa Urahis sana.
●Tunatoa Offer ya Kubuniwa/Kuchorewa Mchoro wowote Ule Buree kwa Atake jitokeza kufanya Investment Hapo. Mf. Mchoro wa Hotell,Apartments, Camp House N.k.
●Kiwanja Hakina Mgogoro, na Kina Hati ya Mmiliki Mmoja tu.
●Gharama ya Kuuzwa ni MILIONI 400.
Tsh.400,000,000/=
☆MAZUNGUMZO YAPO.
Ahsante:🙏🏾