Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


*KIWANJA NDANI YA FENSI KINAUZWA MILIONI 300 MAONGEZI YAPO 📍Kipo TABATA BIMA
*Ukubwa wa kiwanja ni sqmt 1610 Document hati miliki ya serikali imetolewa kwa mfumo wa electronic
◇Barabara safi mpaka kwenye kiwanja ni mkeka kabisa njoo na gari ya aina yoyote miter 50 tu kutoka kwenye lami kuu
*Bei Tsh milioni 300 maongezi yapo*
MATUMIZI
.Hujenzi wa nyumba za wangaji
.Makazi
.godown
Etc..
Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
~~Follow page yangu~~~
Istagram
Facebook
Tik tok