Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Nyumba INAUZWA
๐Tabata Bima / mtaa wa pili kutoka na
Lami , mtaa mzuri karibu na huduma
Zote za kijamii
Nyumba kubwa Ina vyumba vinne vya kulala kimoja master na kila chumba kina makabati , sebule kubwa na jiko kubwa [ mpangaji analipa 500,000]
Nyumba ndogo uwani Ina vyumba viwili vya kulala kimoja master na sebule choo wage I nje mpangaji analipa [ 300,000]
Document ๐ โ
Hati miliki [wizara]
Bei kaanzia mil 120,000,000 \=
Kuja kukagua 40k
Maisha ni nyumba , maisha ni kuwekeza kabla ya uzee hujakufika
Nguvu za utafutaji zikakimbia
Tabata ya watu wa raha watu wenye pesa zao wapenda utulivu