Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


UNDER GROUND JUU NA CHINI)
INAUZWA MILIONI 90 (TABATA KINYEREZI)
PUNGUZO 💥 PUNGUZO 💥HII NI OFA KUBWA NDUGU MTEJA INAUZWA NYUMBA HII MILIONI 90 (90,000,000/= )
NYUMBA NZURI KUBWA YA(UNDER GROUND )FAMILIA INAUZWA NI NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA IPO SEHEMU NZURI SANA BEI MSELELEKO KABISA (90,000,000/= TSH) MILLION 90 NA GARI LINAFIKA HADI MLANGONI
💥 NYUMBA HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#MAJI DAWASA YAPO YA KUTOSHA
#PARKING
#IPO NDANI YA FENSI
#NYUMBA YA KUHAMIA TUU NA KUONGEZEA UREMBO WAKO BINAFSI
PIA KUNA CHUMBA MASTER NA SEBULE NA JIKO CHINI NYUMBA HII KUBWA SANA TENA SANA
BEI NI 90,000,000/= TSH
UKUBWA WA ENEO NI 20/15 METERS
DOCUMENTS:- HATI SAFI YA MAUZIANO HALALI KUTOKA SERIKALI YA MTAA
🇹🇿 NYUMBA HII IPO TABATA KINYEREZI MWISHO...
KUTOKA ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 3 UPO KWENYE NYUMBA
💥 KUONESHWA NYUMBA HII GHARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 30
NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
C
0782636396 0655436396 0767636395