Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Corner plot inauzwa ipo tabata baracuda njia panda ya kwenda vingunguti
- Plot imesajiliwa kwa matumizi ya ( PETROL STATION)
- Plot size: 998 sqmts
- Ina vibali vyote vya kujenga petrol station
- Hii barabara ina msongamano mkubwa wa magari
- Bei TZS 1.4 billion
Contact call 0712531657#0789731695