Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Hii ni super offer!!!
Kiwanja Kinauzwa Tabata Bonyokwa Stendi.
Ukubwa: Sqm 1200
Bei: Mil 35
- Mtaa mzuri sana pamejengeka
- Huduma za kijamii zipo
- Kuna barabara zege
- Ni dk 5 kutoka stendi
Panafaa kwa wale wanaohitaji kujenga sehemu tulivu.
Pia kwa ujenzi wa apartments ni pazuri sana.
Muhitaji piga ๐ 0688 412 890.