Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa
Value, ya Tabata sqm moja tsh 190,000
Sasa nakuita njoo uokote dodo hapa maeneo ya Tabata zipo sqm 700 jamaa anauza kwa tsh mil 68 tu .
Panafaa kwa kujenga kuishi ,nahata kujenga Apartment hapako mbali na balabala kubwa ya Mandela road
Full Titledeeds
Mil 68,000,000
Maisha ni kujenga na kuwekeza, nakuibia siri za matajiri wakubwa zipo kwenye REAL ESTATE
Njoo kwa kujiamini.
Gharama za kuja kukagua 45000
#dalalisoso