Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


🔥 KIWANJA KINAUZWA – TABATA BONYOKWA STENDI 🔥
📏 Size: 400 SQM (16m × 25m)
💰 Bei: Tshs 25 Milioni tu (SULUHISHI)
📄 Sales Agreement tayari
✅ Eneo tambarare, mpangilio mzuri wa mtaa
💡💧 Umeme na maji vya serikali vipo
🚗 Panafikika kwa gari zote, hakuna usumbufu ujenzi
📍 Umbali:
• Km 1 tu kutoka Stendi ya Tabata Bonyokwa Mwisho 🚌
• Km 2 tu kutoka Stendi ya Tabata Segerea Mwisho
🏡 Eneo tulivu sana, zuri kwa nyumba yako ya ndoto!
👀 Viewing Fee: 30,000/= tu
📞 Wasiliana sasa: +255 688 412 890 (Piga/WhatsApp)
💬 dalaliwakishua
"Miliki Kesho Yako Leo!" 🏠✨
Kiwanja kipo, bei poa, usikose fursa hii! 🚀


















