Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam
TSHS MIL 80, KIWANJA KINAUZWA
KIPO-DAR ES-SALAAM Tz
MAHALI-TABATA BONYOKWA
UKUBWA WAKE KIMEPIMWA SQM 1121
NYARAKA ZA UMILIKI KINA SALES AGREEMENT
KIWANJA KIZURI KIKUBWA KIKO JUU HIGHLAND
MIUNDOMBINU YAKE; Barabara inafikika vizuri
Maji x Umeme vyote vipo
NEIGHBOURHOOD NZURI
BEI KINAUZWA TSHS MIL 80
MAONGEZI YAPO PIA
KWA MAWASILIANO PIGA;
+255 718 936 416
+255 768 914 118
Kumradhi kuna ukoseaji kidogo wa sqm ktk matamshi ya video ila uhalisia ni sqm 1121 sio 1112