Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


NYUMBA INAUZWA NYUMBA IMEJENGWA KWA MFUMO WA KUPANGISHWA
NYUMBA IMEJENGWA CHUMBA KIMOJA NA SEBULE NA CHOO ZIPO SITA 6
NYUMBA IPO TABATA KINYEREZI
NYUMBA IMEJENGWA BADO FINISHED
KIWANJA KINA UKUBWA WA SQM 600
BEI MIL 55
NYUMBA IPO MTAA MZULI SANA ULOTULIA ULOJENGEKA KIUMAZUBUTI
UMBALI KM 2.5
HATI MAUZIANO SELIKALI YA MTAA
NYUMBA IPO KINYEREZI KIFULU
KARIBU SANA MTEJA
0769279936