Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa sh milion 125 maongezi kidogo yapo, eneo limepimwa na hati miliki hipo, ukubwa wa eneo square meter 995, barabara ya mtaa hipo, karibuni sana
✔️Hapa uneweza jenga nyumba za makazi, apartments, pamoja na fremu, n.k
✔️ Location tabata kinyerezi dar es salaam Tanzania
☎️Calls/Whatsapp 0768682919
0653233641
Note:
✔️Ghalama ya kupelekwa kuonyeshwa eneo sh 30000
✔️Bila kusahau asilimia %10 dalali
Follow me Dalali mchina tabata kinyerezi Facebook, Instagram & tik tok
✔️ Hakikisha unapiga sim namba hizo hapo juu ogopa matapeli