Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam


**Nyumba Inauzwa Tabata Kinyerezi, Dar es Salaam!**
Nyumba ya kumalizia yenye ubora na viwango, vyumba vinne (viwili ni master), sebule, jiko, na eneo kubwa la kiwanja lililobaki. Ukubwa wa eneo ni sqm 680, bei ni TZS 57M. Nyumba ina hati ya urasimishaji. Gharama za kukagua ni TZS 40,000.
#NyumbaInauzwa #RealEstate #DarEsSalaam #HomeForSale #LuxuryLiving #PropertyForSale #DreamHome #InvestInRealEstate #TabataKinyerezi #RealEstateInvestment#dalalisoso #dalalisosotabata#daressalaam
Unakaribishwa kuja kuona!