Kiwanja kinauzwa Tabata, Dar Es Salaam
Nyumba tatu zinauzwa(apartment tatu za vyumba viwili viwili)
Location: tabata kinyerezi kifulu
Umbali kutoka lami kilometa 2
Bei tsh milioni 130 maongezi yapo kidogo
znyumba mbili zinazo fanana kila moja ina vyumba 2 vya kulala vyote ni master
sebule
jiko
Public toilet
na iyo nyumba nyingine
Ina vyumba 2 vya kulala
Chumba master kiMoja
sebule
jiko
Public toilet
Ukubwa wa kiwanja SQM 1000
Umiliki: mauziano ya serikali ya mtaa
gharama za kupelekwa site kuoneshwa nyumba Tsh elfu 30,000/=
PIGA SIMU KWA MAELEZO ZAIDI
0652912222
0782414315