Kiwanja kinauzwa Tabata Kinyerezi Makofia, Dar Es Salaam (1200 sqm)


Aina
Kiwanja
Ukubwa
1200 SQM
Huduma na Sifa
Maelezo
Hapa kuna kiwanja kinauzwa bei milion 70, ukubwa wa eneo la kiwanja square meter 1200, eneo zuri sana na kiwanja cha 4 kutoka lami, document ni serikari ya mtaa, hapa unaweza jenga nyumba za apartment au makazi, n.k, ni maeneo ya tabata kinyerezi makofia dar es salaam
Calls/Whatsapp 0768682919 au 0653233641
Service survey charge tsh 50000
Napatikana tabata kinyerezi mbuyuni opposite na ngekili hotel dar es salaam




















