Kiwanja kinauzwa Tambalale, Tabora






KIWANJA KIZURI SANA TAMBALALE KABISA KINAUZWA BEI MILIONI 55 MAONGEZI
KIWANJA KIPO KARIBU NA BARABARA YA LAMI KABISA
KIWANJA KINAFAA KUJENGA APARTMENT ZA BIASHARA AU MAKAZI BINAFSI
KIWANJA KINAUKUBWA WA SQUARE 400
KIWANJA KINADOCOUMENT HALALI ZA MAUZIANO KUTOKA SERIKALI ZA MTAA
KIWANJA KIPO KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM 1.5 USAFIRI BAJAJI DALADALA 500 UNAWEZA PITIA MAJI CHUMVI UBUNGO EXTRENAL KOTE UNAFIKA LAMI TUPU HADI SAITI
WAI NDUGU MTEJA UKAE PAZURI BARABARANI KABISA
SEVCHAGE 25000 KUJA KUONA SAITY
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347