Kiwanja kinauzwa Tambalale, Tabora


KIWANJA KIZURI KINAUZWA,
KINA HATI MILIKI, tambalale kabisa hata ukimwaga maji hayatembei
Barabara mbele na nyuma,
tambalale kabisa,
maji na umeme vipo,
location; mbezi msakuzi ( njia ya mpigi )
bei 72m, mazungumzo yapo
0745559598 call/wasap


















