Kiwanja kinauzwa Tambalale, Tabora


Hii sio ya kukosa ndugu Mteja Kiwanja kizuri Kipo Mtaa mzuri sana Mazingira yamenyoooka sanaaa
Bei: 50 Milion #maongezi_yapo
📍Location: Kifuru Cheka Nao
Umbali: KM 2.5 Kutoka Kifuru Mwisho Bajaji 500 Boda Boda 1000 Tu Unawahi Site Panafikika kwa Ulahisi Mno
📍Ukubwa wa Kiwanja Ni Sqm 1594
✅️ HATI MILIKI YA WIZARA YA ARDHI
MATUMIZI: Makazi
HUDUMA ZOTE MUHIMU ZIPO KAMA
✅️UMEME
✅️MAJI
✅️SHULE NA HOSPITALI
Kiwanja kipo Sehemu nzuri Mazingira Rafiki na Tulivu Huduma zote za kijamii zipo Kiwanja ni Tambalale
Kwa Mawasiliano Zaidi
Calls;
☎️0785916587 Whatsp/Calls
☎️0627511524 Whatsp/Calls