Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam
*Corner Plot kwa ajili ya Sheli linalotazama Morogoro road linauzwa Luguruni*
*Location* Eneo lipo karibu na Ofisi za Mkuu wa Wilaya ya Ubungo
*Ndani kuna eneo halijapimwa lina fremu Zina wapangaji ukichanganya na eneo lililopimwa zinafika Sqm 2500 +*
*Eneo linafaa kwa uwekezaji wa Hotel, Shopping Mall, Petrol Station n.k*
-Plot size Sqm 1,387
*Matumizi* Commercial (Retail and Wholesale)
-Document: Title Deed *(Electronic)*
*Bei shilingi milioni 550 maongezi yapo
Contact call 0712531657
0789731695