Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


๐NYUMBA YA BIASHARA INAUZWA IPO UBUNGO INATAZAMANA NA STAND YA DALADALA MAWASILIANO
๐NYUMBA INAWAPANGAJI TAYARI KUNA MASHINE ZA ATM NA OFISI
๐Bei 600 MIL MAONGEZI YAPO
๐NYUMBA INA HATI ORIGINAL MKONONI NA MMILIKI YUPO HAI
๐NA HUU NDIO MTILILIKO WA JENGO NA KIPATO CHAKE KWA MWAKA
๐Kwa Mashine mbili za ATM ni Tsh. 25,200,000 kwa mwaka. Ofisi za Juu kwa ni Tsh. 21,600,000 wapangaji wa Chini wapo 7 wanalipa jumla Tsh. 8,400,000. Ukijumlisha wapangaji wote napokea jumla ya *Tshs. 55,200,000* kwa mwaka
KUPELEKWA SITE KUKAGUA TSH 50.000/
KARIBU SANA MTEJA UTOE OFA YAKO
CALL_0656610033