Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam



Kiwanja kizuri sana kikubwa kinauzwa bei milioni 25 maongezi yapo
Location ubungo makoka kwa mkua km 2 usafiri bajaji daladala 500 kutoka ubungo external au kimara korogwe mwendo kasi
Kiwanja kinaukubwa wa square 400 nk:
Kiwanja kimepimwa kinabicon kabisa
Kiwanja kzr tambarale akuna kuchimba hapo ni kujenga tu
Kiwanja kinadocoument halali za mauziano kutoka serikali za mtaa
Wai ndugu mteja ujinyakulie kiwanja kzr bei pw bei inashuka tena njoo muongee ujinyakulie eneo hilo
Sevchage 25000 kwenda Kuona saity
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347