Kiwanja kinauzwa Ubungo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kizuri sana kimenyoka hakina bonde
Kipo karibu kabisa na barabara
Location ubungo riverside dakika 6 kutembea mpaka kwenye kiwanja kutoka stand
Ukubwa wa kiwanja Smt 550
bei ni million 60 maongezi kidogo yapo
dalali ubungo mbezi kimara
0785299128