Kiwanja kinauzwa Ukonga, Dar Es Salaam
Nyumba nzuri sana ipo ukonga kwa Diwali Jiji la dar es salaam wilaya ilala
Ina uzwa bei nzuri sana tsh million 40 tu
Ukubwa wa eneo square miter 500
Ina document ya mauziano ya office ya serikali ya mtaa
Vyumba vnne vya kulala kimoja ni master bedroom ina sitting room ina daining room na jiko pamoja public toilet ina maji na umeme upo wa luku nyumba nzuri sana ina fence gari ndogo 4 zina ingia ndani
Njoo uone live mdau wangu ukiwa sirious uwezi kuiyacha kabisa nyumba nzuri sana
Ukitaji kuiyona nipigie cm au nichek Whatsapp
0759203175
0652618143