Kiwanja kinauzwa Upanga Mashariki, Dar Es Salaam


Nyumba inauzwa ipo Upanga Mashariki. Ina 3 bedrooms, plot size: 1,600 sqmts imegusa mtaa wenye lami. Iko kwenye location nzuri sana....
- Panafaa kujenga apartments, hotel, ofisi au nyumba ya kuishi nk...
- BEI USD 1.3MILLION Maongezi yapo kidogo.