Kiwanja kinauzwa Visiga, Pwani


KIWANJA SQM.6,000 (EKA NA NUSU) TSHS.30 MILIONI, MAILI-35,VISIGA-KIBAHA.
Hapa ni umbali wa kilomita 1 tu kutoka Barabara ya Morogoro.
Njoo weka Makazi yako hapa.
Au tena Lima,Fuga au Tulia tuliiiii.
Umiliki ni MKATABA WA MAUZIANO.
Huduma za Umeme na Maji zipo jirani.
_________________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratatibu zangu.
+255 714 591 548
_________________mpg