Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kizuri sana kinauzwa:
Kiwanja tambarare yaani ni mkeka,na kimezungukwa na barabara 3 majirani km unavyoona mtaa wa kishua
Ukubwa-sqm 2300
Umiliki- Hati miliki
Bei-ml 230 maongez kidogo
Location- Tegeta wazo bwawani
Umbali-km 1 kutoka main road
Karibuni. Wasaliana Nas kwa no *#0652407997π²π²πΉπΏπΉπΏπΉπΏwhatsp *#0652407997π²π²πΉπΏπΉπΏπΉπΏwhatsp0767427997