Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa kipo Tegeta wazo kontena
Ukubwa wa Kiwanja Sqm 1200.
Kiwanja chapli kutoka lami mpya mivumon
Bei ni Milioni 150, maongezi yapo.
Kiwanja ina hati
Gharama za kuona kiwanja shs 20,000.
Wasiliana nami kwa
0784 234 971 au
0718 809 744
Karibuni sana