Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam
Kiwanja kinauzwa
Bei milioni 215 maongezi
Ukubwa Sqm 2,000
Kina hati miliki
Kipo tegeta Wazo mivumoni
Kiwanja Kipo juu bahari inaonekana
Kinabarabara tatu
Kizuri sana
MITA 250 Toka barabara kuu YAMIVUMONI
Sim +255 750 246 905 / WtsApp