Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


๐ KIWANJA KINAUZWA โ TEGATA WAZO
๐ Kina gusa lami! Karibu kabisa na kiwanda cha Twinga Cement
๐ Ukubwa: 2287 sqm
๐ Kina hati miliki
๐ฐ Bei: TZS Milioni 400 (Maongezi yapo)
โ
Mahali pazuri kwa BIASHARA โ hoteli, yard, godown, supermarket n.k.
โ
Barabarani โ rahisi kufikiwa na wateja
โ
Miundombinu ipo โ maji, umeme, barabara
โ
Mazingira tulivu, salama na yanayokua kwa kasi
๐ Wasiliana sasa:
0746 433 854