Kiwanja kinauzwa Wazo, Dar Es Salaam


Kiwanja kinauzwa
kipo Tegeta Wazo madale
Bei million 350
Kiwanja kimepimwa kina hati
Kutoka lami ni kiwanja cha nne
Ndani kina nyumba mpya ya vyumba vitatu
ukubwa wa kiwanja Sqm 3300
Tuwasiliane kwa namba 0718809744
KARIBUNI SANA
bei million 350
Gharama za kuona kiwanja sh. Elfu 20