Mashamba yanauzwa Talawanda, Pwani
Aina ya Zao lingine linalomea kwenye ardhi ya mashamba ya Talawanda Ni Mahindi
Pia unaweza kulima Mihogo, Nanasi, Alizeti, Miti mbalimbali, Mtama nk
Kesho tunaenda site Usipange kukosa
Eid ishapita sasa turudi kwenye kuwekeza 🤑😊
Mashamba haya yapo Bagamoyo Talawanda 15km kutoka lami
Bei ya ekari ni 1.5M unalipa kwa miezi 15 yaani laki 1 kila mwezi
Ukitaka ekari 2 utalipa laki 2 kila mwezi
Ekari 3 laki 3 kila mwezi nk
Mashamba yapo kijiji Talawanda Huduma zote za Kijamii zipo
Haya ndio mashamba yaliyo na Umeme
Safari itaanzia Makumbusho stand saa 2 Na nusu asubuhi, Nauli elfu 12 kwenda na Kurudi wa Bagamoyo Road tutawapitia
Hakiki uwepo wako #0657907091