Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam
APARTMENT INAPANGISHWA;
🌍 GOBA CENTRE
📍Tsh 450,000 kwa Mwezi
■Vyumba Viwili (kimoja Masta )
■Sebule Kubwa
■Jiko kubwa
■Public Toilet
■Fence
Gharama ya Kuona nyumba zetu ni Tsh 30,000/=
KWA MUHITAJI PIGA SIMU
#0786801000whatsapp
#0658342885