Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA
KIGAMBONI KIBADA DSM
SIFA
✅️Vyumba viwili kimoja master,sebule na jiko, public toilet
✅️umeme unajitegemea
✅️ndani ya fensi (ulinzi 💯)
✅️maji safi yasio na chumvi
✅️parking kubwa
✅️aluminum;tiles & GYPSUM
BEI 300K anachukua kuanzia miezi 3 na 1 wa dalali sai
Usisahau
FOLLOW US VISIT OUR PAGE
Service charge 20k
#
MAWASILIANO
#+255746407197