Nyumba inapangishwa Kiluvya, Pwani
APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA #100k
Chumba cha kulala
Sebule
Choo
Sehemu ya jiko
Kodi 100,000 Kwa mwezi
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni
Umbali km 1 bodaboda 1000 kama huna haraka unatembea
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
0679447338
0753454167