Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA SUKA DAKIKA TATU (3) KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD 
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA 
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO 
#VYUMBA VIWILI 2 VYA KULALA 
#SEBULE KUBWA
‼️ HAKUNA MASTER 
#JIKO KUBWA 
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#IPO NDANI YA FENSI
BEI NI 250,000/= X 6 
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 3 TUU KWA MIGUU
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453




















