Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT 2 TU KWENYE COMPOUND MOJA
.
.
LOCATION: KIMARA BARUTI KM 1 TU KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA UNAPIGA TEKE GETI
.
.
KODI NI 300,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
.
.
SIFA ZAKE
#########
VYUMBA 2
KIMOJA MASTER
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
TILLES
GYPSUM
ALUMINUM
LUKU 2
MAJI 2
YANAFLOW NDAN
NDAN YA FENSI
PARKING SPACE KUBWA
MAZINGIRA MAZURI NA TULIVU
.
.
BRBR NI RAFIKI KABISA KWA GARI YA AINA YOYOTE
.
.
SERVICHAJ ELIFU 15 NA ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA
.
.
CONTACT
0655256319