Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HAYA SASA NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA KILA GETI WAPANGAJI WAWILI TU ZINAKUWA TAYALI KUINGIA TAREHE 01/08/2024 KUONA MALIPO RUKSA MAFUNDI WANALALA SAITI
#SEBULE KUBWA
#CHUMBA KIKUBWA
#JIKO LINAWEKWA MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW KUNAWEKWA BLOCK
#KILA APARTMENT WAPANGAJI 2 TU PARKING KUBWA
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA
#SIMTANK KILA MTU LA KWAKE
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
0655256419