Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA ZINAPANGISHWA
๐ฅ APARTMENT HIZI ZINA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA (OPEN KITCHEN)
#CHOO KIZURI CHA NDANI NDANI (PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 5 KWENYE ENEO MOJA
โผ๏ธFENSI ITAJENGWA NYUMBA NI MPYA
BEI NI 250K X 3
ILIPWE LAKI MBILI NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 3 NA KUENDELEA
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
๐๏ธ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI MPYA YA. ZEGE NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 12 TUU KWA MIGUU
๐ค FENSI ITAJENGWA NYUMBA NI MPYA
0655256419