Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIII NYUMBA INAJITEGEMEA KWENYE FENSI YAKE YENYEWE NI KUBWA SANA KWA FAMILIA IKO WAZI
#SEBULE KUBWA SANA
#VYYMBA 3 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#DAINING TABLE
#STORE
#CHOO NA BAFU VYA FAMILIA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA IPO NDANI YA FENSI YAKE PARKING KUBWA SANA UNAWEZA HATA KUFUGA
#INAJITEGEMEA KILA KITU UMEM NA MAJI
#MAJI DAWASA SIMTANK ZA KUTOSHA
#LOCATION KIMARA MWISHO DK 10-15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
0652472014