Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#0625606710
APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA
KIMARA SUKA
๐๏ธ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO:
A)
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA
#SEBULE KUBWA
#PUBLIC TOILET
#MAJI SAFI DAWASA SHARE W2 NA YANAFLO NDANI.
#โHAKUNA MASTERโ
#LUKU INAJITEGEMEA
๐ฐBEI 300K MIEZI 6
B)
CHUMBA KUBWA SEBULE KUBWA PUBLIC TOILET YA NDANI NA SEHEMU YAKUPIKIA
๐ฐBEI 250K MIEZ 6
MAONGEZI YA MIEZI YAPO USIOGOPE
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
NA ZIPO TATU KWENYE FANCE MOJA
UMEME NA MAJI INAJITEGEMEA
KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA KM1.2
USAFIRI BAJAJ 700 AU BODA 1000
UKISHUKA DKK1 UPO NDANI
๐ฅ KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
NB:Kutawekwa preva kote๐