Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
MASTER BEDROOM NA JIKO LAKE INAPANGISHWA KIMARA SUKA KODI NI 100,000x3x6
Chumba cha kulala
Choo ndani
Jiko ndani
Maji Free nayanaflow chooni
Umeme MNASHEA WAWILI TU
Bei:100,000 Kwa mwezi ×3X6
Umbali km 2 Bajaji zakutosha
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
0679447338
0753454167