Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI KUBWA IPANGISHWA BEI NI 200,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA KIKUBWA SANA CHENYE KABATI NDANI LA NGUO
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO KIZURI CHA NDANI KWA NDANI ( PUBLIC TOILET)
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#HAKUNA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA
#HAKUNA PARKING YA GARI ILA GARI LINAFIKA
BEI NI 200,000/= X 6
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA KOROGWE UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 NA USAFIRI NI BAJAJI SH 50O NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
#KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
โฌ๏ธ
Simu/06 59 33 67 51
โฌ๏ธ
Wsp/07 86 08 56 37