Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam
π―οΈNyumba Nzuri sana inapangishwa, KIMARA TEMBONI
π 800,000/= *6
_________
___
β’ Vyumba 2 vya kulala (kimojawapo Master)
β’ Sebule Nzuri
β’ Jiko lenye makabati
* Ina A/c
* Heater ya Maji ya Moto
* Ndani ya Fensi
* Inajitegemea UMEME na MAJI
* Maji yanatoka ndani
#Umbali wa kutembea dk 9 tu
π NOTE: ikiwa Full Furnished bei inakuwa 1,200,000/= Γ6
______
#Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000
#Malipo ya Dalali ni 800,000/=
______
0753-172-516