Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


Apartment inapangishwa KIMARA KOROGWE
NYUMBA INA CHUMBA KIMOJA CHA KULALA
Master bedroom
Sebule kubwa
Umeme wa luku
Maji yana flow ndani
Full tilles, gypsum & aluminum
Parking
Kodi 180,000/= kwa mwezi mmoja, Malipo miezi 6
Kwa maelezo zaidi piga :---
0712528820
0685221354
Wote mnakalibishwa
Mr.